Mpya! Njia Rahisi na ya Haraka ya Kuongeza Mavuno Mara 2 hadi 3, Kupunguza Gharama za Mbolea na Kugeuza Shamba Lako Liwe Mgodi wa Dhahabu Bila Kubahatisha

“Fikiria shamba lako likigeuka kuwa mgodi wa dhahabu—kila mmea ukizalisha mavuno yanayogeuka kuwa pesa taslimu mikononi mwako.”

Mpendwa Msomaji,

Kama unataka kufanya kilimo kama biashara…


Ili kuongeza mavuno yako mara 2 hadi 3,


Na kupata uhakika wa chakula pamoja na kipato cha kudumu,


Kwa kupunguza gharama za uzalishaji hadi 80% hasa kwenye matumizi ya mbolea,


Huku ukipata bei nzuri sokoni kwa sababu mazao yako ni bora na yanahitajika…

Na hatimaye kupata faida kubwa, inayokuwezesha kufikia malengo yako,

Pamoja na kutimiza mahitaji yote ya msingi ya familia bila kuumiza kichwa wala kukosa usingizi tena…

Basi unahitaji kusoma kila neno katika ukurasa huu kwa makini mwanzo hadi mwisho, kwa sababu…

Unaelekea kugundua njia mpya na ya kipekee.....

Itakayo kupatia tiketi ya kutoka kwenye kilimo cha kubahatisha kwenda kwenye kilimo cha biashara chenye faida kubwa.


Tiketi hii itakuwezesha kufungua shamba lako liwe mgodi wa dhahabu, ambapo kila mmea utakuwa na thamani ya pesa….


Na pia itakupa SIRI itakayobadilisha kabisa namna unavyofanya kilimo chako......

Naitwa Siyawezi H. Muhagaze,

Ndugu yangu, ninaelewa fika kuwa ni ukweli usiopingika kwamba kila msimu unapitia maumivu makali ya kupoteza pesa, kutumia nguvu nyingi…..

Na bado unaishia kupata hasara kubwa kwa sababu ya uzalishaji usio na tija.

Hali hii ndiyo hasa iliyompata rafiki yangu Joshua.


Kila msimu alikuwa akiwekeza pesa nyingi, muda mwingi na nguvu nyingi shambani, lakini mwisho wa siku anaambulia hasara.


Cha kusikitisha zaidi, familia yake ilikuwa inakosa chakula cha kutosha msimu mzima….

Na ndoto zake za kutoka kwenye umaskini zikiendelea kuyeyuka.

Nina uhakika, kama ilivyokuwa kwa rafiki yangu Joshua…..

Nawe umewahi kulima ukiwa na matarajio makubwa ya mavuno….

Lakini mwisho wa msimu matokeo yakakuacha umechanganyikiwa, hujui kosa lilikuwa wapi.

Kuanzia mwaka 2018 hadi 2021, Joshua alilima mahindi ekari 10 kila msimu katika wilaya ya Kakonko, mkoani Kigoma. 

Alikuwa na ndoto ya kuona kilimo kikimkomboa kimaisha na kumsaidia kukidhi mahitaji ya msingi ya familia.

 

Alinunua mbegu bora kwa gharama kubwa, akaandaa shamba lake kwa uangalifu mkubwa.

Akanunua mifuko mingi ya mbolea za kawaida kwa bei ya juu, akidhani ndiyo suluhisho la mavuno bora.

Kisha akalipa vibarua wengi kulima na kupalilia kila hatua kwa mikono yao.

Shamba lake liligeuka kambi ya vibarua kama site ya wachina ambao kila siku kazi ilikuwa kubwa bila kupumzika. 

Msimu wa kwanza, mavuno hayakuzidi magunia 7 kwa ekari moja.

Hali hii ilimkatisha tamaa, lakini Joshua hakuacha kujaribu tena. 

Mwaka uliofuata, alijaribu kubadilisha mbegu na kuongeza mbolea; matokeo bado yalibaki duni. 

Mwaka mwingine, aliongeza idadi ya vibarua, alibadilisha mbinu za kulima, alilima kitaalamu!

Na akatumia mbolea ya kutosha kwa hatua zote za ukuaji wa mahindi, pia alibadili hadi mbegu, alitumia mbegu za kampuni tofauti kabisa yaani ile mbegu ambayo inashika kasi na inafanya vizuri shambani!!

Lakini matokeo yalibaki vile vile, Aliendelea kuvuna hasara kubwa na machungu yasiyoisha.

Kwa uchungu, aliniambia: “Siyawezi… kilimo siyo biashara…Shamba langu limekuwa kaburi la pesa zangu.”

Kwa miaka hiyo yote, nilimshauri Joshua kwamba ukilima eneo kubwa haimaanishi faida kubwa,

Mara nyingi tatizo ni ufanisi wa mimea, siyo ukubwa wa shamba!

Lakini alikuwa amezoea dhana ya “ukilima ekari nyingi ni sawa na kupata mavuno mengi

Hivyo aliona ushauri wangu kama jaribio lisilo na matokeo pia.

Hapo kabla ya mwaka 2024, tulizungumza mara kadhaa kuhusu matatizo aliyokumbana nayo.

Nilimwambia kwa upole,

Joshua, tatizo si gharama kubwa ulizowekeza wala nguvu ulizotumia. Tatizo ni namna mimea inavyopokea virutubisho….

Ukibadilisha mbinu zako, shamba dogo linaweza kuzalisha mara mbili au tatu ya shamba kubwa.”

Joshua alinisikiliza kila mara, LAKINI hakuamua kuchukua hatua mara moja.

Hali yake ilibaki yenye machungu, kwa sababu matokeo ya misimu ya awali, licha ya jitihada zake kubwa, yalibaki duni mwaka baada ya mwaka….

Mambo yalibadilika kuanzia Agosti hadi Septemba 2024,

Nilipopata fursa ya kuwafundisha wakulima kupitia Mradi wa Kilimo Tija wa World Vision Kigoma,

Na Joshua akiwa mmoja wa walioshiriki. 

Hapo alianza kuona kwa macho yake jinsi mbinu rahisi, za gharama nafuu na za kisasa zinavyoweza kubadilisha matokeo bila kulima eneo kubwa wala kutumia mbolea nyingi.

Kwa sababu alikuwa ameshachoka kupoteza pesa na hata kushindwa kufikia mahitaji ya msingi ya familia......

Kama chakula, ada za shule, na maendeleo binafsi.

Joshua aliona kwamba mabadiliko ni muhimu, hasa......

Kutokana Na uhalisia wa mashamba yake na gharama kubwa za uzalishaji zisizo na ufanisi anazotumia kila msimu…...

Mafunzo yale yalimpa fursa ya kuona kuwa uzalishaji wenye tija ni uwekezaji halisi, sio hasara. 

Nilipo mweleza hatua za kuchukua ili pesa anazoweka shambani ziwe akiba,

Na jinsi ambavyo kila baada ya miezi minne angeweza kurudisha pesa zake pamoja na faida….

Alinisikiliza kwa makini sasa bila kusita, bila kubeba dhana za zamani zilizomchelewesha kuchukua hatua.

Hapo aliamua kuanza hatua mpya, akitumia mbolea ya maji (ya majani), kupunguza eneo alilolima, na kuzingatia ufanisi wa mimea badala ya ukubwa wa shamba.

Mwaka huo 2024, Joshua alipanda mahindi ekari 5 tu…..

 

Hakutumia mifuko mingi ya mbolea ya kawaida kama alivyozoea.

Badala yake, aliweka mbolea ya majani aliyopata kwa gharama ndogo sana.

Mbolea hiyo ni rahisi kutumia na ina ufanisi mzuri shambani.

Aliitumia kila hatua ya ukuaji wa mahindi bila kukwama, na kila shilingi aliyoitoa ikatumika kikamilifu.

Hii ilimuwezesha kuona matokeo halisi kwa haraka, bila kupoteza pesa nyingi.....

Matokeo yalikuwa ya kushangaza! 

Wakati Wakulima wenzake wengi wakiendelea kuvuna magunia 3 hadi 5 kwa ekari moja.

Shamba la Joshua lilionyesha tofauti ya ajabu….....

Alivuna gunia 25 kwa ekari moja kutoka gunia 3 hadi 5!!

Ekari 5 zilizopandwa kwa mbinu hiyo mpya zilitoa jumla ya magunia 125 ya mahindi.

Huu ulikuwa ushuhuda halisi wa nguvu ya mbinu sahihi, mbolea ya majani, na uangalizi makini wa ufanisi.

Shamba dogo, mpangilio mzuri wa kila hatua, na mbolea sahihi viligeuza mavuno yake kabisa.

Joshua hakufanikisha tu mavuno makubwa, alifikia ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa na shamba linalotoa faida halisi na endelevu.

Huyu ndiye yule yule Joshua ambaye miaka ile alilalamika kwamba kilimo ni kaburi la pesa.

Sasa ameona kilimo kuwa mwanga wa uhakika……

Shamba dogo tu, ukitumia mbolea sahihi na kufuata ushauri uliothibitishwa, unaweza kupata matokeo makubwa.

Lakini pengine unajiuliza,

“Mbolea gani ilimuwezesha Joshua kupata matokeo haya ya kushangaza?”

Usijali, ndani ya dakika 3 zijazo nitakuonyesha mbolea hiyo….

Na Jinsi ilivyotumika shambani kwake na kwanini wewe pamoja na kila mkulima anayetaka kupata mavuno ya uhakika kwa gharama ndogo aitumie leo na siyo kesho!!!.

Lakini kabla sijakuonyesha mbolea aliyoitumia Joshua;

Unapaswa kufahamu ukweli huu mzito unaogusa wakulima zaidi ya 80%!!

Wakulima zaidi ya 80% wanawekeza nguvu, muda na pesa nyingi, lakini mwisho wa msimu kila mmoja hujikuta akijiuliza;

Pesa zote nilizoweka shambani zimeishia wapi?”

Kwa miongo kadhaa, tangu miaka ya 1960, wakulima duniani kote wamekuwa wakitegemea mbolea za kawaida….....

Wakati huo mambo yalionekana kuwa mazuri kwa sababu…..

Kulikuwa na mashamba makubwa hadi mengine yalipumzishwa, idadi ya watu duniani haikuwa kubwa sana, na mahitaji ya chakula yalilingana na uwezo wa uzalishaji.

Lakini kadri miaka ilivyozidi kusonga, idadi ya watu ililipuka kwa kasi…....

Dunia ilihitaji chakula zaidi, makazi zaidi, malighafi zaidi, na mashamba zaidi ya kulima. 

Ili kuziba pengo hili, wakulima walilazimika kuacha kupumzisha mashamba yao kwa sababu maeneo mengine waliyokuwa wanalima yalibadilishwa matumizi yakawa makazi, viwanda au mashamba ya serikali, ikatokea noma Duniani!!

Ilikuwa hivi......

Miaka hiyo ya 1960 hadi 1970, Dunia ilikumbwa na hofu kubwa ya njaa…....

Wanasayansi waliona suluhisho la kudumu lilihitajika, na hivyo wakaanza kuunda mbolea za viwandani. 

Utengenezaji wake ulitumia teknolojia ya mmenyuko wa kemikali…….

Ambapo kemikali mbili au zaidi zilibadilishwa kuwa zao jipya la kemikali, sambamba na udhibiti makini wa joto na presha ya mfumo huo….

Mfano rahisi.....Fikiria Ukiweka Mkaa + Moto + Hewa (Oksijeni) unavyokuja kupata Majivu + Moshi/Gesi.

Vivyo hivyo walichukua….

Asidi kali kama sulfuric, phosphoric au nitric na zilichanganywa na madini ghafi ya Alkali kama phosphate rock au potash na baada ya kuchanganywa zilipikwa, kuzalisha virutubisho vipya vya mimea.

Mchanganyiko huu, ukishapikwa, huzalisha chembe ndogo ndogo (granules) ambazo zinapakiwa kwenye mifuko ili mkulima aweze kutumia shambani.

Chembe hizo ndiyo mbolea tunayoiona sokoni leo mfano DAP, Urea, SA, NPK, na nyingine nyingi….. 

Hizi zilitengenezwa kwa wingi na elimu ikaanza kutolewa kwa wakulima ambapo mpaka miaka ya hivi karibuni inaendelea kutolewa duniani kote. 

Ndipo wakalazimika kutegemea na kutumia mbolea za kawaida ili kufidia virutubisho vilivyopungua haraka kwenye udongo. 

Lengo la viwanda lilikuwa Kuzalisha mbolea nyingi haraka na kwa gharama nafuu;

Ili mkulima apate virutubisho moja kwa moja na kuongeza uzalishaji wa mazao ya chakula na malighafi za viwandani.

Matokeo ya kazi ya wanasayansi hao yalionekana…..

Mbolea hizi zikaipatia mimea Nitrojeni (N) kwa ukuaji wa majani, Fosforasi (P) kwa mizizi na maua, na Potasiamu (K) kwa nguvu na ubora wa matunda. 

Mavuno yaliruka  juu kwa kiwango cha ajabu yakatokea mapinduzi makubwa ya kijani yaani Green Revolution ambapo kwa kweli mapinduzi hayo yaliiokoa dunia kutoka balaa la njaa kubwa, 

Dunia ikapona njaa, Amani Ikatawala.

Mbolea hizi zikawa shujaa mpya wa kilimo cha kisasa Duniani.

Lakini ukweli ni huu, baada ya zaidi ya miaka 60, wakulima na watafiti walianza kuona dalili mbaya shambani....


Tangu enzi hizo, tatizo hili limeendelea kuwa janga halisi duniani kote.



Mbolea iliyokuwa mkombozi sasa imegeuka kuwa mtego unaotafuna pesa zako na kuiba furaha ya mavuno.



Ni dhahiri kwamba tatizo halisi siyo tu utalaamu au mbegu bora, bali sasa ni udongo wa shamba lako uliopoteza rutuba



Kwa nini? Kwa sababu Mashamba yetu hayana uhai tena! Kivipi? Tuendelee utanielewa.



Kwa nini nasema hivyo?



Kwa sababu Tafiti nyingi nchini Tanzania zinaonyesha mashamba mengi yana udongo uliopoteza virutubisho muhimu. 



Udongo unakabiliwa na upungufu mkubwa wa virutubisho na uhai wake kwa ujumla. 



Takwimu zinaonyesha upungufu mkubwa wa Nitrojeni, Fosforasi, Potasiamu na Magnesiamu.



Zaidi ya hayo, udongo wa maeneo mengi umepoteza pH yaani umekuwa wa asidi nyingi na umepoteza mabaki ya mimea na vijidudu rafiki vinavyoleta uhai. 



Hali hiyo ndiyo SABABU kubwa ambayo inapelekea hata ukiongeza mbolea za kawaida mara nyingi, mmea haupati chakula chake ipasavyo.



Ni kama kutia sukari kwenye chai chungu yenye majani mengi, bado haileti ladha unayoitarajia (TARI, 2022).



🌱Si kwetu tu…..

Hata ndugu zetu wa Kenya nao wanapambana na changamoto kubwa kama yetu.

Tafiti zinaonesha kuwa asilimia 65 ya udongo wa Kenya ni wa asidi.



Hali hii hupunguza mavuno kwa kasi sana na kuharibu virutubisho muhimu kama Nitrojeni, Fosforasi na Potasiamu.


Ndiyo maana mara nyingi wakulima wengi wanalalamika wazi wazi kuwa....

Ninaweka mbolea, lakini shamba langu linazidi kudhoofika na mavuno sioni.” (KALRO, 2024)

Ndugu yangu, sasa unaona hii siyo hadithi ya mbali…..

Ni hali halisi inayotokea kwenye mashamba ya jirani zako,

Na pengine hata kwenye shamba lako....

Ni wazi sasa kwamba shamba lako haliko salama……

Kwa sababu, unaweza kuwa umeona dalili hizi shambani kwako…….



1️⃣ Shamba kuchoka: Kila msimu unahitajika kuongeza dozi kubwa zaidi ya mbolea ili kupata mavuno yale yale. 



Bila hivyo, mavuno yanashuka au huvuni kabisa.



2️⃣ Virutubisho vichache: Mbolea nyingi za kiwandani hutoa NPK pekee, huku mimea ikihitaji virutubisho 17. 

Matokeo yake, umeishuhudia mimea yako ikiwa dhaifu au

Ikishambuliwa na magonjwa kutokana na upungufu wa

Virutubisho muhimu kama zinc, boron, iron, calcium, magnesium, na vingine.

 

3️⃣ Udongo umepoteza uhai: Udongo wa shamba lako umekosa uhai.

Viumbe hai na wadudu rafiki wanakosa chakula. 

Mabaki ya mimea hayaendelei kujengwa…….

Muundo wa udongo umekuwa mgumu, mzito na usiopitisha hewa.

Udongo hauna rutuba tena………

Usipoongeza mbolea, hata gunia chache huwezi kuvuna tena!

Je, unajua kinachotokea kwenye udongo wa shamba  lako?

Kama jibu lako ni Hapana…..

Basi Fahamu hili…….

Kila Kitu Kinachotokea kwenye udongo Lazima Kina Chanzo Chake.

Ngoja Nikuoneshe Chanzo Cha HASARA Na Kupotea kwa Uhai wa Udongo Wako!

Udongo wako unaweza kuwa na virutubisho vyote vinavyohitajika, lakini mmea bado ukaendelea kuwa na njaa na kudhoofika….

Kwa nini?.....

Kwa sababu virutubisho hivyo “vimefungwa” na minyororo ya asidi au alkali.

Ni kama vile una chakula kingi jikoni,

Lakini kimefungwa ndani ya kabati bila ufunguo….Chakula kipo, lakini huwezi kukila.

Ndiyo maana unaongeza mbolea kila msimu, lakini mmea bado unasitasita kukua.

Kwa lugha rahisi ni kwamba......

Kemikali za Asidi na Alkali zilizotumika kutengeneza mbolea ndiyo chanzo cha tatizo.

Unapotumia mara kwa mara mbolea za kawaida kama DAP, SA au Urea, zinashusha pH ya udongo.

Virutubisho muhimu kama Fosforasi, Kalisiamu na Magnesiamu vinakamatwa na chembe za udongo, haviwezi kufika kwenye mmea.

Dalili zinazoonekana ni kama mimea kuwa dhaifu, majani kupauka au kukosa nguvu.

Hali hii inakulazimisha kuongeza mbolea zaidi na zaidi kwa sababu unafikiri ni mbolea iliyopungua.

Lakini hata baada ya kuongeza, bado mmea unabaki na njaa kwa sababu “chakula kimefungwa.”

Zaidi ya hapo, madhara ya asidi huendelea……..

Aluminium na Manganese hutolewa kwa wingi na hugeuka sumu kwenye mizizi......

Mizizi inakufa, mazao yanadumaa na kukauka mapema.

Vijidudu rafiki wanaotengeneza rutuba (kama rhizobia) wanakimbia, udongo unakosa uhai na unakufa taratibu…..

Kwa upande wa alkali nyingi……

Virutubisho muhimu kama Zinki, Chuma na Shaba hukamatwa, mimea inakosa nguvu na majani yanageuka ya njano.

Pia, Udongo wenye Sodiamu nyingi hukakamaa, haupitishi maji, mizizi haipumui na shamba linageuka kuwa tasa…

Hapo ndipo unapopoteza pesa na mavuno.

Kwa sababu tatizo siyo tu mbolea, bali ni udongo uliofungwa minyororo ya asidi na alkali.

Ndiyo maana wakulima wengi husema,

“Mbolea za kawaida huharibu udongo wa mashamba.”

Hilo Ni kweli, Kwa sababu…...

Kadri ulivyoendelea kutumia mbolea hizo, pH ya udongo ilishuka, vijidudu rafiki vikafa, virutubisho vikapotea, na udongo ukachoka.

Matokeo yake, mimea yako inakuwa dhaifu, mavuno yanakuwa madogo, gharama zinazidi kuongezeka wakati wewe unaendelea kuugulia maumivu ya “Udongo wa shamba lako kufa.”

Kwa hiyo;

“Kila unavyoongeza mbolea, gharama zinapanda juu wakati mavuno yanazidi kushuka.”

Tafiti zimethibitisha hilo kwa kuonesha kuwa asilimia 30% tu ya mbolea unayotumia shambani hufika kwenye mmea.

Yaani asilimia 70% ya pesa zako za mbolea hubebwa na mvua, maji yanayotiririka juu ya ardhi, hushikiliwa na udongo au hubadilika kuwa gesi na kupaa hewani.

Matokeo yake tumeona kuwa mmea unabaki na njaa, wakati wewe unabaki na hasara ya pesa yako.

Sasa hebu fikiria……...

👉 Wewe unatoa jasho lako, unanunua mbolea kwa pesa taslimu, lakini ni asilimia ndogo ya mbolea hiyo tu ndiyo inaufikia mmea wako….

Hali hiyo ni uthibitisho unaounga mkono tafiti mbalimbali kwa 100% kwamba unalipa gharama mara mbili!!

Kwanza, unanunua mbolea nyingi kila msimu yaani gharama zako zinapanda juu sana.

Pili, mimea yako inakula sehemu ndogo tu ya hiyo mbolea, matokeo yake mavuno yanakuwa madogo na udongo unazidi kuchoka kila msimu.

Sasa kwa hali hii, ni shamba la nani ambalo lipo salama kweli?

Swali hilo ndilo lilijitokeza miaka ile…..

Kwa sababu, wakulima walihisi kama wanakimbia na gari ambalo halina mafuta ya kutosha, yaani wanakanyaga mbolea zaidi lakini mashamba hayarudishi tija ile ya mwanzo.

Ndiyo maana Joshua aliongeza mbolea nyingi zaidi, lakini mavuno hayakuongezeka!!!

Huo ni ushahidi kwamba tatizo si mkulima, si mbegu, bali ni aina ya lishe unayoipa mimea.

Ndiyo maana, ingawa mbolea zilileta mapinduzi, Bado zilikuwa na pengo kubwa;

Zilitoa virutubisho vichache tu hasa N, P, K, na si ule uhai kamili wa udongo.

Hapo ndipo Dunia ilipoanza kujiuliza....

Je, kuna njia bora zaidi ya kulisha mimea kwa ufanisi mkubwa na bila kupoteza gharama?

Watafiti hawakusimama hapo wakasema….“Kama udongo umeshindwa kupeleka virutubisho vyote, basi tuvipeleke moja kwa moja kwenye majani ya mmea.”

Ndipo mbolea za majani zikaibuliwa kwa kishindo kama Sindano iliyotoa Uhai kwa Mimea!

Mbolea hiyo ni...

“Suluhisho lililogeuza kilio cha wakulima kuwa tabasamu la mavuno.!!”

Teknolojia hii ilivunja ukuta kati ya mbolea za kiwandani na mazingira asilia ya udongo, ambapo hapo palikuwa chanzo cha gharama kubwa na hasara. 

“Kama mgonjwa anavyopona haraka kwa sindano kuliko kwa kumeza vidonge, vivyo hivyo mimea hupata ustawi na kuchochea mavuno bora zaidi unaponyunyizia mbolea moja kwa moja kwenye majani.”

Kwa nini? Hii ni kwa sababu virutubisho husambaa moja kwa moja kwenye tishu za mmea bila kupotea njiani, sawa na sindano inavyofika moja kwa moja kwenye damu ya mgonjwa. 

Matokeo huonekana haraka na yenye nguvu kwa sababu majani hugeuka kijani kibichi, mizizi hujijenga na kushika kwa nguvu sana.

Na maua pamoja na matunda huongezeka kwa wingi, yote yakionyesha tofauti kubwa kutoka kilimo cha mbolea za kawaida.

Cha kushangaza zaidi ni kwamba mkulima hutumia kiasi kidogo cha mbolea, lakini hupata matokeo makubwa zaidi. 

Hii ndiyo siri iliyomuokoa Joshua!!

Ule upotevu wa 70% wa mbolea uliozika pesa zake ulitoweka, mimea yake ikawa yenye afya na nguvu, mavuno yake yakapanda juu ya matarajio, na kilimo kikawa chanzo cha furaha badala ya mzigo…….

Na Muda wa kuona matokeo pia ukawa mfupi zaidi kuliko alivyowahi kushuhudia.

Lakini vipi umewahi kujiuliza, Kwa nini bidhaa moja inafanya kazi, nyingine haifanyi?

Nataka kusema nini hapa......Siyo Mbolea za Majani (foliar fertilizers) zote ni sawa!!!

Ndiyo maana hata kama dunia iliona mbolea za majani kama suluhisho la kuziba pengo la mbolea za udongo, ukweli wa kisayansi unabaki pale pale kuwa Kila mbolea ya majani ni tofauti!

Kwa sababu, Teknolojia yake ni tofauti, Lishe yake yaani virutubisho vilivyomo ni tofauti Na matokeo yake ni TOFAUTI pia, hayafanani!!

Hapa ndipo unapaswa kuelewa jambo la msingi kuwa…...

Kila mbolea ya majani ni zao la sayansi, Ni matokeo ya teknolojia ya utengenezaji,

Ndiyo maana si kila mbolea ya majani utakayoiona sokoni inaweza kutatua matatizo yako…….

Wakulima wengi waliishia kutumia pesa nyingi, lakini wakabaki na “maji yenye harufu ya mbolea” bila kuona matokeo yoyote.

🌱Teknolojia ya Surfactant: Sayansi ya Kipekee Iliyoleta Mapinduzi ya Kilimo

💡Dunia ilihitaji suluhisho jipya na la kipekee kabisa!!

Suluhisho Lenye uwezo wa kufuta mapungufu yote na kuongeza tija ya uzalishaji kwa kiwango kisicho cha kawaida.

Ndipo mbolea ya kipekee ikabuniwa. Upekee wake si maneno ya kuisifia bali NDIO UKWELI wake kabisa.

Mbolea hiyo ilitoa lishe kamili na teknolojia yake ilihakikisha mimea inaipata kwa 100% na kuifyonza bila kupotea njiani.

Na hapo ndipo, Kampuni ya GNLD–Neolife International, yenye makao yake makuu California–Marekani, ikaamua kuchukua hatua kubwa ya kufanya utafiti ulio leta NEEMA na FURAHA kwa kila mtu.

Kampuni ya Neolfe ina historia ya zaidi ya miaka 65 katika sayansi ya lishe na kilimo. Kwa uzito wa utafiti huu Kampuni ilitumia zaidi ya miaka 10 kufanya ugunduzi wa kina wa mbolea hii.

Utafiti huu uliungwa mkono na Scientific Advisory Board (SAB), Timu ya wanasayansi wanaotambulika kimataifa, wanaoshirikiana na mashirika makubwa kama WHO, CDC, na FAO.

Matokeo ya Utafiti huo yalibeba mapinduzi ya kweli kabisa;

Na hapo ndipo mbolea ya Super Gro ikaingia Duniani hata leo Tanzania tunaifurahia.

Suluhisho la kisasa la kilimo, linaloleta ‘Mavuno Zaidi’ kwa kila mmea kuliko kawaida.

Hii ndiyo Super Gro ya Neolife ORIGINAL, unayoweza kuona hapa kwenye picha.

Super Gro ni mbolea ya majani ya kioevu na ya Kikaboni yaani ni mbolea asilia kwa 100% , iliyoundwa kwa msaada wa Timu ya wanasayansi waliothibitishwa kimataifa (SAB), wanaoshirikiana na mashirika makubwa Dunia kama WHO, CDC na FAO.

 

Hii inamaanisha Super Gro siyo bidhaa ya majaribio,  Bali ni matokeo ya Teknolojia iliyothibitishwa kitaalamu, iiliyofanyiwa majaribio na kuthibitishwa mashambani,

Na sasa inatumika katika nchi zaidi 55 Duniani, ikijibu changamoto halisi za wakulima huku ikitoa suluhisho la kudumu katika uhitaji mkubwa wa Kilimo hai na endelevu leo Duniani kote.

Kwa mara ya kwanza, ulipewa “chakula kamili” cha mmea.

Suluhisho la kudumu lililoleta furaha badala ya mzigo wa maumivu katika kilimo.

Super Gro inakupa mavuno mengi kwa gharama nafuu, huku mimea ikikua kwa afya na nguvu za ajabu.

Sasa kilimo siyo mzigo tena, bali ni chanzo cha furaha na faida halisi.

Na hii ndiyo sababu wakulima waliowahi kuijaribu Super Gro kama Joshua hawarudi nyuma tena.

Wameona mabadiliko makubwa ya afya ya mimea yao, kupungua kwa gharama za uzalishaji, na mavuno yaliyoongezeka kwa kasi ya ajabu tofauti na walivyozoea.

Super Gro ni mchanganyiko wa vyanzo asilia vinavyotoa virutubisho kamili vya NPK, na micronutrients muhimu kwa ukuaji na afya ya mmea.

Super Gro imeimarishwa zaidi kwa Teknolojia ya Surfactants, Teknolojia ya Kipekee sana!!

Teknolojia hii imeifanya Super Gro iwe mbolea ya maji yenye rangi ya kijani kibichi, nzito kama asali na inayong'aa kama mafuta ya kupikia ikiwa Juu kwenye jani au kitu chochote.

Super Gro hupeleka lishe moja kwa moja kwenye majani, bila kupotea njiani, kuhakikisha mimea inakua kwa afya, kwa kasi na nguvu, na inachochea mavuno mengi zaidi.

Ni salama, haina athari zozote kiafya, kwa mimea au kwa mazingira,

Na imesajiliwa rasmi na Mamlaka ya Mbolea Tanzania (TFRA) kwa nambari FERT/11-1919.

Super Gro hufanya kazi kama sindano ya mmea.

Sayansi ya Super Gro, iko hivi….

Super Gro inapo nyunyiziwa juu ya majani, Surfactant yake hupunguza mvutano wa maji na kuruhusu kusambaa juu ya jani lote.

Yaani,  kwa kawaida maji yanapo mwagiliwa kwenye majani huwa katika umbo la tone lililojikusanya pamoja.

Maana yake halisambai…...lakini tone lenye Super Gro husambaa kwenye jani zima na jani hilo hung'aa kama lililopakwa mafuta ya kupikia.

Kusambaa kuna maana kuwa virutubisho au sumu uliyochanganya inafika kila eneo la jani au shina au eneo la mizizi kwenye udongo kuzunguka mmea kikamilifu kwa 100% bila kupotea kabisa.

Ndiyo maana Huitwa Tone La AJABU!

Baada ya hapo, 

Teknolojia ya “Penetration booster” huingiza virutubisho moja kwa moja kupitia vitunduu vidogo vya stomata na ngozi ya jani hadi ndani ya tishu za mmea,

Wakati Teknolojia ya “Sticker effect” huhakikisha virutubisho na sumu ulizo changanya havipotei hata kama mvua ikinyesha baada ya kupulizia kwa sababu huvishika kama gundi ngumu au stika imara.

Ndiyo maana majani huanza kunawiri ndani ya siku 3 tu, mizizi inashika kwa nguvu, na maua pamoja na matunda huongezeka kwa wingi sana.

Zaidi ya hapo, Super Gro hufanya mimea kufyonza virutubisho vyote vilivyoko kwenye udongo hadi tabaka la 3 kwa ufanisi wa juu zaidi, mara nyingine hadi 100%. 

Hii inamaanisha hautumii mbolea nyingi kama zamani,

Kwa sababu Super Gro inafanya kazi ya kufungua mlango na kuendesha lishe yote ya mmea kwa pamoja.

Haiongezi asidi wala alkali kwenye udongo, haiui vijidudu rafiki vinavyolinda afya ya udongo, na badala yake huupa udongo uhai mpya.

Kwa maana hiyo…

"Super Gro ni Chakula Kamili cha mmea……kinachotoa virutubisho vyote muhimu katika kila hatua ya ukuaji wa mmea ili kuhakikisha mimea inakua ikiwa na afya imara,

Ambapo maua na matunda yanakuwa yenye ubora wa hali ya juu,

Ili kuongeza mavuno Na thamani yake sokoni,

Super Gro Ni TIKETI ya Mavuno Bora na Faida Halisi."

SFaida Unazopata Ukiwa na Super Grouper

👉 Kwanza kabisa, utaona gharama zako za kilimo zikishuka mara moja.

Hutalazimika tena kununua mifuko mingi ya mbolea kila msimu.

Kwa sababu lita 5 tu za Super Gro zinakutosha kwa zaidi ya ekari 5

Yaani kiasi kidogo kinafanya kazi kwenye eneo kubwa la shamba.

Na uzuri wake ni huu, hutumii kwa hatua moja tu, bali kwa kila hatua ya ukuaji wa mimea yako.

Zaidi, virutubisho vyote vinafyonzwa kikamilifu na mimea bila kupotea hata kidogo —matumizi ni 100%.



👉 Halafu, mavuno yako yanaongezeka mara 2 au 3 ya kawaida.

Super Gro inafanya maua yawe mengi na kushika kwa nguvu bila kudondoka hovyo.

Matunda yanajaa vizuri, yanakomaa sawasawa na kwa ubora wa hali ya juu.

Hushikiliwa kama sumaku…..

Hayadondoki, Hayashambuliwi kirahisi na magonjwa…......

Yaani, kila mmea wako unaonekana kama “mashine ya kuzalisha matunda,” ukipelekea mavuno mengi zaidi ya matarajio yako ya kawaida.



👉 Zaidi ya hayo, Mapato yako yataongezeka mara moja. 

Kwa gharama ndogo za uzalishaji, maua yako yanakua mengi na yenye afya, matunda yanashika vizuri, kukomaa kwa ubora wa hali ya juu yenye ukubwa, uzito, rangi na ladha inayovutia.

Kila mmea wako unakuwa “mashine ya kuzalisha mavuno yanayojaza mifuko yako”.

Yaani, mavuno yakiongezeka, mapato yako huongezeka mara moja.

👉 Utaona matokeo mapema

Ndani ya Siku 3 tu baada ya kunyunyizia Super Gro, majani yanageuka kuwa ya kijani kibichi, yakiwa na uhai na nguvu. 

Hii ni dalili kuwa mimea yako imepokea lishe ya uhakika.


👉 Mazao yanakomaa mapema

Mimea inakua na kukomaa haraka ambapo huanza kuzaa mapema zaidi. 

Hali hiyo hukuwezesha kuvuna mapema kabla ya wenzako ambapo unapeleka mavuno yako sokoni wakati bei bado ipo juu. 

Hii ni faida halisi inayoongeza mapato yako moja kwa moja.

📌 Super Gro haikupotezei muda bali inakuletea matokeo ya haraka, mavuno ya mapema na bei bora sokoni.

👉Soko halitakuwa changamoto tena!

Mazao yako yatakuwa makubwa, mazito, yenye rangi ya kuvutia, ladha tamu na ubora wa hali ya juu wa kibiashara.

Ubora na Kukomaa kwa wakati sahihi vitasababisha Wateja kushindana kununua, ikimaanisha utapata bei bora zaidi sokoni,

Kwa sababu ubora wa bidhaa yako unavutia wanunuzi zaidi kuliko bidhaa za wakulima wengine na ni lazima wainunue kwa kuwa imeiva mapema zaidi.

👉Zaidi ya hapo, Shamba lako linabaki na afya msimu baada ya msimu.

Hutalazimika kutumia mbolea Tena kila msimu kama unavyofanya sasa kwamba LAZIMA utumie mbolea ili kuvuna!!

Super Gro hurejesha uhai wa udongo, huimarisha rutuba yake na hulinda vijidudu rafiki vinavyolinda mimea yako. 

Shamba lako linaendelea kuwa na afya, likitoa mavuno bora na ya kutosha msimu baada ya msimu bila kulazimika kutumia mbolea kila mwaka.

 

👉 Hakuna tena gharama za kupima udongo mara kwa mara.

Kwa sababu Super Gro inaupa udongo rutuba yake, kulinda vijidudu rafiki, na kuimarisha mazingira asilia ya shamba lako. 

Udongo wake unaendelea kuwa na afya, ukitoa mavuno bora kwa muda mrefu.

Hivyo, hutalazimika kulipa tena gharama za kupima udongo kila msimu au kuwa na wasiwasi kwamba hujapima afya ya udongo wa shamba lako.

Ukitumia Super Gro unakuwa sehemu salama na yenye amani wewe na shamba lako.

Mimea yako inalindwa dhidi ya wadudu na magonjwa!

👉Super Gro ni lishe kamili ya mmea

Inazuia magonjwa mengi yanayotokana na upungufu wa virutubisho (deficiency diseases) kama kitako kwa nyanya kutokana na ukosefu wa Calcium, Majani kudumaa na kuwa ya njano kutokana na upungufu wa Nitrojeni, 

Au maua na matunda kushindwa kukua na kuiva vizuri kwa sababu ya uhaba wa Fosforasi na Potasiamu.

🌱 Mmea unapopata lishe kamili kupitia Super Gro, kinga yake ya asili huimarika mara moja!

Unakuwa na nguvu ya kupambana na magonjwa sugu ya fangasi kama ukungu, madoa doa ya majani, kuoza mizizi na hata magonjwa yanayokausha maua na matunda.

Hii inamaanisha mimea yako haidhoofiki tena kirahisi, badala yake inakua kwa afya, inastawi vizuri na inaleta mavuno mengi yenye uhakika.

👉 Vilevile, unapoongeza sumu kwenye maji yenye Super Gro, hufanya sumu zishikamane kwenye majani kama gundi au stika imara.

Super Gro huongeza ufanisi wa sumu hizo wa kudhibiti wadudu na magonjwa!!

Hata mvua ikinyesha, sumu hizo hazioshwi, zikishika zimeshika kweli kweli!!

Zinabaki zikilinda mimea yako kwa muda mrefu zaidi bila kuongeza gharama ya kurudia kupulizia. 

Matokeo yake ni kwamba, mimea yako inabaki imara na yenye afya,

Na gharama zako za kudhibiti magonjwa na wadudu zinashuka, mavuno yako yanaongezeka kwa wingi zaidi na hupelekea mapato yako kuongezeka pia.

👉Salama kwa Mimea, Udongo na Mazingira yako

Super Gro haiunguzi mizizi, haiongezi au kuacha mabaki ya kemikali ya asidi wala alkali kwenye udongo na haiui vijidudu rafiki vinavyolinda afya ya udongo. 

Badala yake, huupa udongo uhai mpya na kuufanya kustawi msimu baada ya msimu.

Imethibitishwa na TFRA-Tanzania na kusajiliwa kwa Namba FERT/11-1919

Aidha, imeidhinishwa na mashirika makubwa ya kimataifa kama FAO, WHO, na CDC, na inatumika rasmi katika Nchi zaidi ya 55 Duniani.

Hii ndiyo sababu, Super Gro kuchaguliwa kama mpango mkakati wa kidunia wa kuongeza usalama na uhakika wa chakula, hasa kuelekea mwaka 2050 ambapo idadi ya watu inakadiriwa kufikia zaidi ya Bilioni 9 Duniani kote.



👉Hutashindwa Kuvuna Tena kwa sababu ya Ukame au Mabadiliko ya Tabianchi.

Super Gro huvunja tabaka gumu la juu la udongo na kuruhusu maji kupenya chini zaidi hadi tabaka la tatu.

Tabaka hilo ndiko ambako unyevu na virutubisho muhimu huhifadhiwa kwa muda mrefu.

Mizizi ya mimea yako huweza kupenya kwa urahisi hadi huko chini na kufyonza maji na lishe hata wakati wa jua au ukame mkali.

Matokeo yake,

Mimea yako haitakaa juu juu ambako ukame unaweza kukausha kila kitu haraka, 

Bali mimea inastawi bila kusimama, inabaki na afya nzuri, na unapata mavuno ya uhakika bila kutumia gharama kubwa za umwagiliaji.

📌 Super Gro ndiyo silaha ya mkulima mjanja dhidi ya mabadiliko ya tabianchi.

Ni suluhisho la kisasa la kuhakikisha uzalishaji salama na endelevu hata kwenye mazingira magumu. 

👉Hufanya Kazi Kwenye Mazao Yote.

Super Gro haibagui…..inafanya kazi kwenye kila zao. 

Inafaa kwa nafaka, mbogamboga, matunda, maua, mazao ya biashara (kahawa, chai, pamba, korosho) na hata bustani za nyumbani.

Yote yanastawi na kutoa mavuno bora zaidi.

Super Gro ni siri moja inayofanya kila zao litabasamu, huku wewe ukipata faida zaidi bila hatari ya kupoteza mtaji. 🌱💰

Hufanya Kazi Kwenye Udongo wa aina zote.

Super Gro inafanya kazi kwenye aina zote za udongo zilizopo kila pembe ya Tanzania, ikihakikisha mimea inapata lishe kamili, unyevu unaohitajika, na mavuno bora.

Imethibitishwa kufanya kazi vizuri kwenye udongo wa mchanga, mwekundu, mweusi, tifutifu, mfinyanzi na hata wenye chumvi nyingi.

Hivyo, Hufanya Kazi Kila Kanda: Kutoka Kanda ya Ziwa, Nyanda za Juu Kusini, Kaskazini, Pwani, Kati hadi Zanzibar; wakulima wote wameshuhudia matokeo chanya.

💧 Inafanya Kazi na Kila Aina ya Maji

Haijalishi kama unatumia maji ya kisima, mto, bwawa, ziwa au hata maji yenye chumvi nyingi kidogo……

Super Gro hubaki imara na kufanya kazi kikamilifu. 

Hushikamana vizuri na kila aina ya maji, kuhakikisha lishe inapenya moja kwa moja hadi kwa mmea….

Na zaidi, Super Gro hufanya maji kidogo kufanya kazi kubwa zaidi. 

Unatumia maji machache kunyunyizia lakini matokeo yanakuwa makubwa, 

Hivyo unalinda shamba lako na kupunguza gharama za umwagiliaji kwa sababu tone la Super Gro hupenya na kufanya upunguze raundi za kumwagilia.

Hakika Super Gro Ni Suluhisho Jipya Na La Kipekee Ambalo Ulimwengu Wa Kilimo Umebarikiwa Nalo!

Usiyaamini maneno yangu.....

Wakulima waliotumia Super Gro hivi ndivyo walivyoshuhudia:-

Ramadhani Matole – Mkulima wa Bustani-Nyanya & Kabeji, Kutoka Geita

“Kabla ya kuanza kutumia Super Gro, kwa kweli kulima ilikuwa kazi ngumu na mazao hayakuwa mazuri kwangu.

Lakini baada ya kutumia Super Gro, mazao yangu yalinishangaza hasa nyanya zilikuwa na maua mengi, hayakudondoka na Kabeji ziliweka matunda makubwa!

Shamba langu lilipamba matunda mengi na makubwa kama shamba la nazi!

Nimevuna mazao mengi kwenye eneo dogo sana kwa mara ya kwanza.

Hii imenifanya nishangilie matokeo yenye faida na kuona tofauti kubwa kwenye shamba langu.”

🌱 Charles Kulwa – Mkulima wa Nyanya, Kutoka Katoro-Geita 🌱

“Kila msimu nilikuwa napata hasara kubwa, nyanya yangu ilichelewa kukua na mavuno hayakuwa ya kuridhisha. 

Lakini baada ya kutumia Super Gro, mambo yamebadilika kabisa.

Nyanya zangu zimekomaa mapema kwa wiki mbili kabla kuliko kawaida yaani niliwahi kuvuna mapema kwa wiki mbili kabla ya wenzangu.

Hii si Kawaida kabisa kama nilivyozoea na nimevuna mara mbili zaidi ya kawaida.

Kilicho nifurahisha zaidi niliwahi soko likiwa zuri mno!

Nimeuza ndoo ya Lita 20 kwa Tsh 23,000/-.

Kilichonishangaza zaidi ni jirani yangu Mzee Darlingtone!!

Mzee huyu alinitangulia kupanda kwa wiki moja bila kutumia Super Gro, 

Yeye Amechelewa kuvuna na amekuta bei imeshuka kidogo hadi Tsh 20,000/- tu kwa ndoo ya Lita 20.

Sasa nimejua kwa uhakika, Super Gro "Si gharama, ni uwekezaji unaonilipa!

Mabrouk Kasato – Mkulima wa Mahindi, Kutoka Uvinza-Kigoma.

"Mwaka juzi nililima mahindi kwa kutumia mbegu ya Pana M 19 lakini mahindi hayakutoka kwa sura nzuri maana yake sikuvuna vizuri japokuwa nilitumia mbolea za udongo za kutosha katika kila hatua.

Lakini mwaka jana baada ya kutumia mbolea ya Super Gro kwenye shamba langu hilo hilo mahindi yamenipa matokeo mazuri kwa sababu yametoka vizuri sana kuliko misimu yote iliyopita.

Hii mbolea iliyakuza haraka, yakarefuka, mashina yalinenepa na yametoa mavuno mengi zaidi kuliko msimu uliopita;

Kwa kweli mashina na hata magunzi yenyewe nikiangalia watoto walivyotoka, wametoka kwa kishindo cha ajabu, kila shina limebeba watoto wawili, wakubwa sana kama mhogo.

Nimepata mavuno ya kutosha kuliko kawaida!

Shamba langu sasa linaweza kunipa mavuno bora kila msimu kwa kutumia Super Gro."

🌱 Mch. Samson Kasesa – Mkulima wa Nyanya, Kutoka Moshi.

“Nilikuwa nimechoshwa na gharama kubwa za mbolea kila msimu….

Lakini baada ya kutumia Super Gro, gharama zimepungua sana kwa zaidi ya nusu, mavuno yameongezeka,

Na nyanya zangu zinakomaa kwa wakati sahihi. 

Kwa mara ya kwanza nimeona matokeo halisi yanayoonekana shambani, Mimea yangu sasa inatoa mazao mengi na yenye afya.”

Juma Bakari – Mkulima wa Maharage, Kutoka Arusha

“Kila msimu nilikosa mavuno mazuri!

Maharage yangu shambani yalichelewa kutoa maua na baadhi ya maua yalidondoka kwa sababu ya wadudu na magonjwa.

 

Lakini baada ya kutumia mbolea ya Super Gro

Maharage yangu yamejaa maua mengi na kila shina lina vikonyo vya maharage vingi (18–25) ambapo kila kikonyo kilionekana kuwa na mbegu za maharage kati ya 5 hadi 7.

Kwa kweli baada ya kuvuna, maharage yalioongezeka mara mbili zaidi ya nilivyozoea kuvuna misimu iliyopita.

Pia, nimepunguza gharama za mbolea na sumu za wadudu na magonjwa, jambo lililonifanya niwe na mapato zaidi sokoni

Kwa mara ya kwanza, nilihisi matokeo halisi yanayoonekana shambani,

Shamba langu sasa linaweza kunipa mapato bora kila msimu.”

🌱 Mwongozo wa Matumizi ya Super Gro – Rahisi, Salama na Unaotoa Matokeo Makubwa🌱

💧 Jinsi ya Kutumia Super Gro

Ni rahisi sana kutumia Super Gro......

Ni utaratibu ule ule wa kawaida wa kupulizia mimea,

Ila sasa unatumia lishe rafiki  badala ya sumu za wadudu.

Lishe hiyo hufyonzwa haraka na mmea na kutoa matokeo ya kweli. 

Kanuni ya kuchanganya ni rahisi sana........

 

Kila Lita 1 ya maji changanya na mls 1 ya Super Gro.

(mls 1 = cc 1).

Maana yake

Solo ya Lita 16  unaweka mls 16 za Super Gro.

Wakati Solo ya Lita 20 unaweka mls 20 za Super Gro.

Ni rahisi sana, Hakuna ugumu wowote,

Ni kama vile unavyopima na kuchanganya sumu za kuua wadudu kwenye solo yako ya kupulizia.



👉 Dozi kwa ekari moja….

Kwa ekari 1, kila round ya kupulizia inahitaji wastani wa mls 200 hadi mls 250 za Super Gro. 

Msimu mzima wa kilimo, unahitaji mls 750 hadi mls 1000 tu kwa ekari. 

👉 Ukiwa umelima ekari 5 za mahindi, Unahitaji Lita 5 tu ya Super Gro kwa Msimu Mzima.

Kanuni hii inatumika kwa kila zao, isipokuwa mpunga pekee. 

Kwa sababu mpunga hulimwa kwenye majaruba au mashamba yenye maji mengi ambayo maji hayo hupunguza nguvu ya mbolea ikiwa utatumia kipimo cha kawaida cha mls 1 kwa lita 1 ya maji, hivyo unatakiwa kuongeza kipimo.

 

Kwa kila lita 1 ya maji unachanganya mls 3 za Super Gro.

Njia Rahisi za Kutumia Super Gro

1️⃣ Kupulizia Majani (Foliar Spray)

Hii ndiyo njia ya kawaida na yenye matokeo ya haraka sana.

Pulizia majani yote vizuri......

Usiogeshe Mmea kwa sababu utapoteza mbolea sehemu moja tu.

Pulizia maji yafike vizuri kwenye jani lote kama kawaida.

 

Virutubisho vinapokelewa moja kwa moja kupitia majani, 

Na matokeo ya ukuaji na afya ya mimea huonekana ndani ya siku 3 Tu.

2️⃣ Kisahani kwa Miti ya Matunda (Soil Basin Method)

Njia hii hutumika kama mbadala wa kupulizia kwa miti mikubwa…..

Ni njia bora kama huna mashine ya kupulizia juu kwenye miti mirefu.

Hufaa kwa miti ya kudumu kama embe, parachichi, ndizi, michungwa, korosho.

Tengeneza duara dogo au kisahani kuzunguka shina la mti na mimina maji yenye Super Gro ndani yake.

Mizizi hufyonza virutubisho moja kwa moja na huvitoa kila sehemu ya mti ambapo huchocha mavuno mengi zaidi.

Ratiba na Awamu za Matumizi

Super Gro haitumiki mara moja tu, bali kwa awamu 3 hadi 4 kulingana na msimu

Hii inahakikisha mmea wako unapata lishe kila hatua muhimu ya ukuaji.

🌞 Msimu wa Kiangazi



Pulizia kila baada ya siku 7….
Namaanisha hivi…..

Siku 7 zikiisha ukiwa umepulizia  basi unarudia tena kupulizia.

Unafanya hivyo hivyo kwa Awamu 3 hadi 4 mfululizo.

Ukimaliza awamu hizo habari ya mbolea unakuwa umeifunga.

Muda mzuri wa kupulizia ni Asubuhi au Jioni kama kawaida.

Sasa unaweza kujiuliza kwanini tunapulizia kila baada ya siku 7?

Ni kwa sababu, Hali ya kuwepo Joto kali na Ukavu husababisha mvukizo mkubwa (evaporation), hivyo maji na virutubisho hupotea haraka.

Pia, upepo ni mkali wakati wa kiangazi ambao huongeza zaidi kasi ya kukauka kwa unyevu kwenye majani na udongo.

Na hupelekea pia mimea kuchoka mapema na kushindwa kusafirisha virutubisho ipasavyo.

 👉Kwa kupulizia mara kwa mara, mmea hupata nguvu ya kustahimili ukame, kushamiri hata kwenye hali ya joto kali, na kuendelea kutoa mazao bora.

🌧️ Msimu wa Masika



Pulizia kila baada ya siku 14…..

Kwa Sababu….Mvua za mara kwa mara hutoa unyevu wa kutosha na kusaidia virutubisho kufikishwa moja kwa moja kwenye mizizi.

Pia, hatari ya kuzidisha maji (waterlogging) huongezeka ikiwa utapulizia mara kwa mara kama kiangazi.


👉Ratiba hii ya kupunguza kupulizia mara kwa mara (frequency) inasaidia kuleta usawa kati ya unyevu uliopo, virutubisho vinavyopatikana ardhini na afya ya mmea bila kupoteza rasilimali pesa, sumu na muda.

Ili kuhakikisha umechanganya vizuri, koroga maji yenye Super Gro kwa kutumia stiki ya solo yako au tikisa vizuri maji kwenye solo yako kwa sekunde chache kabla ya kuanza kupulizia. 

Ukiona maji yako yameungana vizuri na hayatoi mabaka ya mafuta au mapovu juu juu, ujue mchanganyiko wako upo sawa tayari kupuliziwa.

Kumbuka pia muda bora wa kupulizia ni asubuhi au jioni, siyo katikati ya jua kali.

Hii inalinda mmea usipoteze virutubisho kwa mvuke na inaleta matokeo bora zaidi.

Kwa utaratibu huu rahisi na wenye uhakika, hutahitaji tena kutumia mbolea nyingi za gharama kubwa zisizokupa matokeo. 

🌱 Kwa kuwa Super Gro ni Chakula Kamili kwa mmea, inao uwezo wa kutoa virutubisho muhimu kwa kila hatua ya ukuaji wa mmea kama ifuatavyo:-

1️⃣ Wakati wa Kupanda (Seedling Stage)

Kupanda mbegu kwa kutumia Super Gro tumia njia hizi 2

Moja loweka mbegu kama kawaida kwa maji yasiyo mengi (unaotesha mbegu kwa kuiloweka).

Mfano, mahindi yaloweke kwa siku 1 hadi siku 2 kwenye maji yenye super gro kulingana na wingi wa mbegu ulizonazo.

Yakianza kuonesha dalili za kuota unayatoa na kuyapanda.

Katika njia hii unahitajika umakini na uzoefu wa kuloweka au kumwagilizia maji yenye Super Gro ili usipitilize kuinyweshwa maji mengi mpaka kuiua na isiweze kuota!!

Kama huna uzoefu, Unashauriwa kupanda mbegu zako kwanza zikifikisha majani 4 hadi 6 unapulizia Super Gro kwa mara ya kwanza.

  • Super Gro husaidia mbegu kuchipua haraka na mizizi kushika mapema kwa nguvu.

  • Mche unakuwa na afya, majani yanakuwa ya kijani kibichi na kunawiri mapema sana.

2️⃣ Wakati wa Kukuzia Majani (Vegetative Stage)

  • Nitrojeni na micronutrients huchochea ukuaji wa majani na tawi,

  • Surfactant husaidia mimea kufyonza maji na virutubisho kikamilifu.

Matokeo: Mmea unakuwa na nguvu, unaweza kustahimili ukame na magonjwa yanayosumbua sana.

3️⃣ Wakati wa Maua na Kuweka Matunda (Reproductive Stage)

  • Fosforasi na potasiamu huchochea maua mengi na yenye ubora.

  • Maua yanashika vizuri, hayapukutiki, matunda huanza kujaa na kukomaa sawasawa.

  • Matunda yanakua yenye ukubwa, rangi na ladha bora

4️⃣ Wakati wa Kunenepesha na Kuboresha Mazao (Ripening & Yield Stage)

  • Potasiamu na micronutrients huboresha ukubwa, rangi na ubora wa matunda/mbegu.

  • Mazao hupata sifa bora za soko (ubora wa kibiashara).

  • Mazao yanakuwa na thamani kubwa zaidi sokoni.

Super Gro Inagharimu Kiasi Gani?

Mbolea za kawaida za udongo ambazo umezoea kutumia, gharama yake si ndogo hata kidogo. 

Kwa mfano, kwenye ekari 1 unatumia mbolea mifuko 3 hadi 4 ya kilo 50, sawa na wastani wa shilingi 300,000/=.

Kwahiyo ukiwa na ekari 5 gharama ya mbolea hupanda hadi shilingi 1,500,000/=.

Lakini nikisema utaipata Super Gro lita 5 kwa ekari 5 kwa shilingi 750,000/=,

Unakuwa umeipata kwa bei rafiki sana ukilinganisha na gharama kubwa ambazo unalipa kwa mbolea za kawaida kwa eneo hilo hilo la ekari 5.

Ukizingatia kwamba Neolife International kupitia Timu ile ya Wanasayansi, wametumia mabilioni ya fedha kufanya utafiti wa kina kugundua Super Gro.

Na pia utengenezaji wa mbolea hii unatumia teknolojia ya kisasa inayotumia vyanzo asilia vyenye ubora uliothibitishwa kitaalamu.

Kwa maana hiyo, gharama ya malighafi hizo asilia ambazo hutumika kutengeneza Super Gro zipo juu sana!

Lakini unajua nini? 

Hutalipia hiyo shilingi 750,000/= kupata lita 5 za Super Gro.

Pesa utakayolipia haifiki hata nusu ya hiyo laki saba na hamsini (750,000/=).

Unaweza ukajipatia lita 5 za Super Gro kwa shilingi 175,000/= tu.

Kuna sababu kwanini nimeamua kutoa punguzo la bei kubwa

Sababu ni kwamba napata wakulima wengi kupitia watu ambao tayari wametumia Super Gro na kushuhudia mavuno kubadilika.

Yaani, wakulima waliotumia Super Gro wamekuwa mabalozi wazuri wa kuniletea wakulima wengine.

Aidha, ninajua gharama za mbolea na pembejeo zilivyopanda sana na zimekuwa mzigo mkubwa kwako.

Hivyo, nimeamua kutoa punguzo maalum ili uweze kupata Super Gro kwa urahisi bila kulazimika kutumia pesa nyingi tena.

Na kwa kuwa nina imani kwa 100% kwamba Super Gro itakusaidia kuongeza mavuno yako, naamini hata wewe utakuwa balozi mzuri wa kuniletea wakulima wengine.

Na hata hivyo......Kama utashindwa kutoa shilingi 175,000/= zote kwa pamoja usijali,

Unaweza kuanza kidogo kidogo mpaka kumaliza kiwango kamili kwa eneo ulilolima.

Nimeweka utaratibu wa kuchukua kwa awamu kama ifuatavyo…. 

Unaweza ukachukua lita 1 kwa ekari 1, ukalipia shilingi 55,000/= Tu 

Au lita 2 kwa ekari 2, au lita zote 5 kwa ekari 5.

Lakini punguzo hili la bei na utaratibu huu wa kuchukua kwa awamu hautakuwepo siku zote.

Super Gro inatengenezwa Marekani......Kwa sasa mzigo ambao tumebaki nao hapa Tanzania ni kwa wakulima 100 tu.

Kwahiyo, wakulima 100 watakaokuwa wa kwanza kuchukua Super Gro ndio watakaopata OFA hii ya punguzo la bei kwa kiwango chochote watakachochukua.

Na watasajiliwa kwenye group maalum linaloitwa Farmcare ambalo ni daraja la Mavuno ya Uhakika.

Ukisajiliwa kwenye group hili faida yake ni kwamba utaendelea kupata punguzo la bei kwa oda zingine utakazoagiza zaidi na zaidi hata kama bidhaa zingine zitaletwa kutoka Marekani.

Pia,utaendelea kupata elimu zaidi ya uzalishaji wenye tija na usaidizi wa kutatua changamoto kupitia uzoefu na ushauri wa kitaalamu wa hatua kwa hatua.

Wakulima 100 wanaonekana wengi lakini kumbuka tangazo hili linaonekana kwa Watanzania wote wenye simu zao mkononi.

Na wengi wao ni wakulima waliochoka kupoteza muda na pesa nyingi kwa pembejeo ambazo hazileti matokeo makubwa.

Kwa hiyo, nina uhakika ndani ya siku chache au wiki chache hizo nafasi 100 zitakuwa tayari zimechukuliwa.

Baada ya oda hizo 100 kuchukuliwa, hutopata tena punguzo la bei ambalo tunalitoa kwa watu hawa 100.

Na siyo hivyo tu, Kama utapitwa na OFA hii, itakubidi usubiri siku 120 (miezi 4) kuja kwa mzigo mwingine wa Super Gro kutoka Marekani.

Miezi yote hiyo ya kusubiri unaweza ukajikuta msimu wa kilimo umeisha, shamba lako limeendelea kuchoka, na mavuno yako yamekuwa madogo sana kiasi cha kwamba hasara yake itakuwa kubwa mno.

Sikuombei ikupate hasara hiyo, lakini ni vyema ukachukua oda yako mapema kwa sababu zipo oda za wakulima 100 tu kwa sasa.

Pengine umetumia mbolea za aina mbalimbali au sumu za shambani, lakini hazijakusaidia kuona matokeo unayoyatarajia.

Zaidi, umeishia kupoteza pesa zako bure na huenda unaogopa kuendelea kupoteza tena. 

Naelewa unavyojisikia lakini kukuhakikishia kwamba "Super Gro" itakusaidia kuondokana na maumivu hayo!

Na kukuletea furaha ya mavuno mengi na kipato cha uhakika, Nakuuzia mbolea hii kwa Dhamana (Guarantee)

Dhamana hii iko hivi…........

Tumia Super Gro mara 3 hadi 4  katika msimu mmoja kwenye shamba lako, nina uhakika matokeo yake utayapenda. 

Ikitokea kwa sababu yoyote ile hujaipenda Super Gro kwa sababu haijakupatia matokeo niliyoyasema  au hujapata kile nilichokuahidi hapo juu kuwa itaifanya mimea iwe yenye afya, majani yenye rangi nzuri, mavuno makubwa na gharama ya mbolea kupungua, 

Piga simu au tuma ujumbe mara moja kupitia Simu 0766461981 kutoa taarifa na utarudishiwa pesa zako zote bila kuulizwa swali lolote.

Aidha, Super Gro ikusaidie kupata mavuno mengi kwa gharama ndogo, au nikurudishie hela zako zote,

Huna cha Kupoteza.

Hata hivyo, nina uhakika mara tu utakapoanza kutumia Super Gro, siku baada ya siku, wiki baada ya wiki, utashangazwa na kasi ambayo mimea yako itabadilika.

 

Utajawa na furaha kuona majani yako yanang’aa kuwa kijani kibichi, mashina yakisimama imara, na mwisho wa msimu utavuna mavuno mengi zaidi ya kawaida.

Hapo hutakumbuka tena hata kuhusu kurudishiwa pesa zako, 

Kwa sababu matokeo yatakuwa wazi mbele ya macho yako, yakijibu moja kwa moja hitaji kuu la moyo wako.

Unachotakiwa kufanya kwa sasa…......

Angalia mpangilio wa bei ya ofa hapa chini niliyoandaa kwa ajili yako kisha jaza fomu ili kutuma Oda ya Kiasi utakachoanza nacho.

  • Lita 1 kwa Ekari 1   ­100,000 55,000/=

  • Lita 5 kwa Ekari 5 300,000 175,000/=

Malipo yote yanafanyika kwa njia ya

M-Pesa au NMB Bank.

Namba ya M-Pesa ni 0766461981 jina ni SIYAWEZI HENERIKO MUHAGAZE.

Namba ya Account ya NMB ni 51510010894 jina ni SIYAWEZI HENERIKO MUHAGAZE.

Kwa mtu wa Dar es Salaam  au Katoro-Geita hutakiwi kutuma hela kwa sababu utaletewa popote utakapokuwa kwa gharama zangu mwenyewe halafu baada ya kupokea mzigo wako ndipo utakapofanya malipo.

Kwa aliyeko mkoani unalipia pesa yote ya kiasi utakachokuwa umechagua kupitia moja ya account za malipo hizo hapo juu.

Halafu unaongezea na Tsh 10,000/= kama gharama za kusafirisha mzigo kwa njia ya Bus au Boat kuja mkoani ulipo ndipo unatumiwa mzigo wako.

Kwahiyo hatua ya kwanza ni kujaza fomu ya kutuma oda ya kiasi ulicho chagua halafu baada ya hapo kama upo Dar au Katoro unasubiri kuletewa siku uliyochagua.

Na Kama upo mkoani baada ya kujaza fomu unafanya malipo kwanza ya gharama ya kiasi ulichochagua......

Na gharama ya kusafirisha halafu baada ya hapo mzigo wako unatumwa mkoani ulipo kwa njia ya bus au boat (wale wa zanzibar).

Kujaza fomu ni rahisi.

Bonyeza hapa chini sehemu iliyoandikwa “ODA YANGU”. 

Baada ya kubonyeza sehemu hiyo itafunguka fomu ya kujaza Taarifa zako na kutuma oda yako…....

(Taarifa Zako zitatunzwa hatakuwepo mtu mwingine tofauti na mimi atakayejua kuhusu taarifa hizo au oda yako)

Bonyeza sehemu hii sasa hivi.

Ahsante sana kwa muda wako wa thamani.

Ni mimi,

Siyawezi H. Muhagaze!

>>>0766461981<<<

P.S: Kama nilivyokwambia zipo oda za watu 100 tu kwa sasa.

Saa iliyopo hapo chini itakaposoma sifuri maana yake oda zote zitakuwa zimechukuliwa na tangazo hili hautoliona tena mpaka pale tutakapopata mzigo mpya na kuanza kutangaza kwa mara nyingine tena.

Kwahiyo, usiendelee kusubiri wakati suluhisho la tatizo lako liko mbele yako. 

Tuma oda yako mapema kabla hujawahiwa.

This site is not a part of the Facebook™ website or Facebook Inc. 

Additionally, this site is NOT endorsed by Facebook in any way.

FACEBOOK™ is a trademark of FACEBOOK™, inc.